Mali za Mastaa

Mahaba ya Barnaba na Mama mtoto wake yameanza kurudi upya.? chanzo wimbo mpya ‘Washa’

on

Baada ya Barnaba kuachia wimbo mpya wa ‘Washa’ ukaribu na mama mtoto wake, Mama Steve baada ya komenti yaliyomuandikia Barnaba kwenye moja ya post zake za Instagram kuhusu wimbo mpya huku akijirokodi video iliyowafanya mashabiki kutafsiri huwenda wawili hao wamerudisha mapenzi yao ya zamani.

Bonyeza PLAY hapa chini kuona.

VIDEO: MPENZI MPYA WA HAMISA AMTOA CHAMBO CARRY “DOGO TOA HIYO KABLA SIJAKUZAA MTOTO WA PILI”

Soma na hizi

Tupia Comments