Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Alieimba Taarabu kwa Kiingereza kazungumza “keep on talking”

on

Hivi karibuni kwenye mtandao wa Instagram ulisambaa wimbo wa taarabu ulio imbwa kwa lugha ya kingereza kitu kilicho washangaza mashabiki wengi wa muziki kutokana na lugha iliyotumika licha ya kuwa wimbo huo ulitoka mwaka 2016 ukipewa jina la “keep on talking“.

AyoTV na millardayo.com zimempata moja ya waimbaji wa wimbo huo anayeitwa Maina Thadei ambaye ameuzungumzia wimbo huo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW

 

VIDEO: FLORA KAONGEA BAADA YA KUDAIWA KUMTOROSHA PASCAL WA BSS HOSPITALI

Soma na hizi

Tupia Comments