Karibu millardayo.com kutazama matukio kwa picha yaliyojiri siku ya jana February 7, 2018 mastaa mbalimbali kutokea kwenye Bongofleva na Bongomovie walishiriki kwenye ziara iliyofanyika ndani ya treni kutokea Dar es Salaam kuelekea Morogoro kwa lengo la kukagua ujenzi wa reli ya kisasa.