Habari za Mastaa

NOMA!! Vituko vya Shilole na mzazi mwenzie Aslay ndani ya lounge ya Uwoya

on

Wakati Shilole akiwa ameachia wimbo mpya aliomshirikisha msanii Aslay wimbo unaoitwa ‘Ukintekenya’, sasa usiku wa February 22, 2018 Shilole alikutana na mzazi mwenza wa Aslay anayeitwa Tessy kwenye Lounge mpya ya Irene Uwoya ambapo Shishi alimbananisha mrembo huyo kuhusu Aslay huku akiamini kuwa wawili hao watarudiana.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama kilichotokea.

VIDEO: Shilole awafungukia mastaa walioshindwa kufika lounge ya Uwoya “Ni wanafiki”

Soma na hizi

Tupia Comments