Top Stories

Waziri Jaffo afunguka picha yake na wake wanne Bungeni

on

Waziri wa Tamisemi Suleman Jaffo ametolea ufafanuzi kuhusu picha inayosambaa mtandaoni ikimuonesha akiwa na wanawake waliodaiwa kuwa ni wake zake wanne pamoja na watoto waliodaiwa kuwa ni wa kwake. Bonyeza PLAY hapa chini kusikia alichosema Waziri Jaffo.

MARIOO NA PRODUCER ABBA WAELEZEA USHIRIKI WAO WIMBO MPYA WA DARASSA

Soma na hizi

Tupia Comments