Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Gigy kapigwa, aandaa mwanasheria amfunge Mo J

on

Msanii Gigy Money amefunguka kuhusu post yale aliyoipost Instagram anayolalamika kupigwa na mwanaume aliyezaa naye ( Mo J ). Kupitia AyoTV na millardayo.com Gigy amesema ameandika mambo ambayo yalikuwa moyoni kwake ambayo yalikuwa yakimsumbua akilini ila baada ya kuandika kwa sasa anajiona huru.

Gigy Money amedai kuwa ni kweli amekuwa anapigwa na Mo J na anamwanasheria hivyo atamfikisha mikononi mwa sheria japo kuwa amekuwa anasita kufanya hivyo sababu anamuonea huruma kuwa anategemewa na ndugu zake.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

EXCLUSIVE: Wolper kafunguka mpenzi wake mpya, kataja zawadi aliyojizawadia

 

Soma na hizi

Tupia Comments