on air with millardayo

Exclusive: Diamond anawafata Alicia Keys, Swizz Beatz na Neyo Marekani… Rich Mavoko je?

on

Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive na OnAIRwithMillardAyo na kuweka wazi kwamba atasafiri hivi karibuni kuelekea Marekani kukamilisha video ya wimbo wake na Neyo, pia kukutana na producer maarufu Swizz Beatz na mkewe ambaye ni mwimbaji Alicia Keys, yote pia kuhusu Rick Mavoko ameyasema hapa kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments