on air with millardayo

REPEAT: Diamond alichojibu kuhusu stori za mtoto kuwa sio wake na watoto aliowakuta na Zari

on

Ni Exclusive Interview ya Millard Ayo na Diamond Platnumz ambaye ameongea kuhusu anachoona kinachoandikwa kuhusu yeye kutokuwa baba wa mtoto Tiffah, wanaosema kakosea kuwa mapenzini na Zari ambaye tayari ana watoto wengine kabla ya kuwa nae, yote hayo ameyaongelea kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments