Habari za Mastaa

CONFIRMED: Picha 4 za mfano wa gari la kifahari Diamond Platnumz analotaka kulinunua mwaka 2016

on

Mwimbaji kutoka kwenye muziki wa bongofleva Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview ya onAIRwithMillardAyo na kuzungumza vitu vingi sana kuhusu maisha yake na muziki wake ambapo moja ya maswali aliyoyajibu kwa kujiachia na akiwa ana tabasamu ni kuhusu kununua gari la ndoto yake.

Platnumz alimwambia Millard Ayo >>> ‘Nataka nibadilishe aina ya gari sababu imekua ni muda mrefu, nafikiri ni muda wa kuwa na gari nililokua nalitamani siku zote, gari la ndoto yangu ni Rolls royce na ndio ninalotaka kulinunua mwaka huu wa 2016 na litakua na jina la PLATNUMZ na sio namba za kawaida’

‘Mbali na kuwa msanii nimeshakuwa C.E.O sasa na kuna baadhi ya vikao ukija na gari ya kitoto huwezi kufanya dili vizuri, kuna baadhi ya sehemu siwezi kwenda naendesha mimi… pia siwezi kuendeshwa nikiwa nimekaa kwenye X6 naonekana kama muhuni tu… ndio maana nikipata Rolls royce inatengeneza heshima‘ – Diamond OnAIRwithMillardAyo
R2

Picha zote hizi ni mfano wa aina ya gari analotaka kulinunua Diamond Platnumz.

R1

R4

ULIMIS? DIAMOND AMEWAONA WANAOSEMA TIFFAH SIO MTOTO WAKE, MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI.

UNATAKA SMS UPDATES ZA MILLARD AYO? KWA SASA NI KWA WATUMIAJI WA TIGO… NAOMBA UFATE MAELEKEZO KWENYE HII PICHA HAPA CHINI.

Mill Tigo

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments