Mix

PICHA 10: Muonekano wa barabara za Dodoma leo January 5 2017

on

Dodoma ndio mji mkuu wa Tanzania ambayo imeendelea kuchukua headline zake kila siku hasa baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa serikali yake yote ni lazima ihamie Dodoma ili kukamilisha maana nzima ya kuwa ndio makao makuu.

Najua kuna baadhi ya watu wangu hawajawahi kufika kabisa Dodoma na wapo wengine pia hawajafika ni kwa muda sasa, yes..! kazi yangu siku zote ni kuhakikisha nawasogezea kila wanachokihitaji watu wangu ambapo leo nimezikusanya picha za muonekano wa baadhi ya barabara Dodoma.

2x6a1098

Barabara ya ndasha

2x6a1107

Zuzu roundabout

2x6a1113

Kanisa la anglikana

2x6a1123

.

2x6a1129

Reli ya kati

ddddddd

2x6a1227

Njiapanda Area D

2x6a1231

2x6a1242

2x6a1259

Mambo ya kufahamu kwenye mpango wa Dodoma kuwa jiji 

Soma na hizi

Tupia Comments