Habari za Mastaa

Donnie Yen na Mike Tyson kuzichapa kwenye movie mpya itakayoonesha leo Cinema…(+TRAILER)

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ningependa ukaitazama hii movie mpya iitwayo IP Man 3 ambayo ndani wameshiriki mastaa wawili Donnie Yen na Mike Tyson.
Movie hiyo inatarajiwa kuonesha leo June 17, 2016 kwenye theater mbalimbali za Dar es Salaam, Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center.

KAMA ULIIKOSA MAJIBU YA ABDUL KIBA KUHUSU KUJIUNGA LEBO YA WCB BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments