Video Mpya

VideoMPYA: Ommy Dimpoz karudi na hii ‘Yanje’ ft. Mnigeria Seyi Shay

on

Mwimbaji wa Bongofleva Ommy Dimpoz ambae alikuwa kimya kwa muda toka aachie single ya ‘Cheche’ leo May 01, 2018 amerudi tena kwenye TV zetu na video mpya ya “Yanje” ambayo amemshirikisha Mnigeria  Seyi Shay, itazame hapa chini

Ridhiwani na Mama yake walivyocheza ‘Nani kama Mama’

BIRTHDAY YA SUGU: Suprise aliyofanyiwa na Mkewe gerezani, bonyeza play hapa chini kumsikia Mke wake

Soma na hizi

Tupia Comments