Habari za Mastaa

Ndoa ya Davido na mpenzi wake Chioma yazidi kunukia, wakamilisha hili (+ Picha )

on

Msanii kutokea Nigeria Davido ameshare picha inayomuonesha kuwa tayari ameshafanya utambulisho rasmi wa mchumba wake Chioma ambaye taarifa zinadai kuwa wanatarajia kufunga  ndoa ifikapo mwaka 2020.

Davido amepost picha hiyo na kuambatanisha na ujumbe huu ….>>>“First of all Introduction”

VIDEO: UHUSIANO WA MWIJAKU NA MENINA, NI KWELI UNATIKISA NDOA YA MWIJAKU?

Soma na hizi

Tupia Comments