AyoTV

VIDEO: Mwanaume kwenda ukweni na kusemwa kichwa kibaya, ungefanyaje?

on

Zuch Zuchero ameingia tena kitaani kama kawaida yake kupiga stori na Watu wake wa nguvu mada ya leo ilikuwa kusemwa ukweni unakichwa kibaya ungefanyaje? watu wametoa maoni yao. Fanya kubonyeza PLAY hapa chini kuitazama mahojiano yote.

STEVE: “Nilisema hataimba tena kwa ile hali, machozi yalinitoka, anapigania roho yake”

Soma na hizi

Tupia Comments