Mali za Mastaa

Kabla ya mwaka 2017, Davido kajinunulia Range Rover ya mwaka 2017

on

Ni mwimbaji staa kutoka Nigeria ambaye ametajwa kuwepo kwenye list ya miongoni mwa waimbaji wa kizazi cha sasa Afrika ambao wametengeneza pesa nyingi kutokana na kutumbuiza kwenye mataifa mbalimbali kwenye hii miaka mitatu na kwa sasa akiwa na umri wa miaka 24 tu (mzaliwa wa November 21 1992)

Davido ambaye aliwahi kuja Tanzania na ku-perform kwenye tamasha la FIESTA mwaka 2014, amekua na tabia ya kununua na kujizawadia magari ya kifahari kila wakati ambapo time hii kajinunulia Ranger Rover mpya ya mwaka 2017 ambayo yeye ndio anakua wa kwanza kuitembelea kutoka zero kilometer.

davido-2

davido-1

davido-4

ULIPITWA? NA HII YA DAVIDO ALIVYOTANGAZA KOLABO NA ALIKIBA? BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI UMSIKIE MWENYEWE…

ULIPITWA? NA MAJIBU YA ALIKIBA KUHUSU KOLABO NA DAVIDO? BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI KUMTAZAMA….

Soma na hizi

Tupia Comments