Top Stories

VIDEO: Shuhuda asimulia Daladala iliyowaka moto ‘Dereva na konda waingia mitini’

on

Taarifa za usiku huu wa October 1, 2018 ni kwamba Gari aina ya Daladala lenye namba za usajili T 742 DMU linalofanya safari zake hapa Dar es Salaam limeteketea kwa moto maeneo ya Mwenge Dar es Salaam wakati lilipokuwa limepaki kituoni.

Ayo TV na millardayo.com imewapata mashuhuda ambao wamesimulia ilivyokuwa mpaka ikapelekea gari hilo kuwaka moto. BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO

USIKU HUU: Mwanzo mwisho Daladala ya abiria inavyoteketea Moto, Mwenge DSM

Soma na hizi

Tupia Comments