Diamond katimiza ahadi??? aliwahi kusema kwenye Interview ON AIR WITH MILLARD AYO na kusema Zari ni Mwanamke ambae anampenda na ni wa tofauti sana kwenye maisha yake hivyo atamuoa…. sasa kuna hii video imesambaa, Diamond ndio kafanya kweli? tazama hii video fupi hapa chini
HATIMAE!! Kuhusu kuachana na Harmonize, Jackline Wolper kafunguka…… Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho… bonyeza play kumtazama mwanzo mwisho hapa chini
VIDEO: Jackline Wolper amuongelea Mpenzi Mpya…. “ana hofu ya Mungu”
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA