Habari za Mastaa

“Sitosahau Mbudya, nilikuwa najua nimeshakufa” Ben Pol

on

Muimbaji Ben Pol amesimulia yaliyowai kumkuta alipopata ajali ya kuzama majini pindi alivyowai kwenda Mbudya kutembea ikiwa ni siku chache toka mtayarishaji wa muziki wa bongofleva Pacho Latino apoteze maisha ambapo amesema kwamba ajali aliyowai kuipata Mbudya ilimfanya asipasahau.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video

EXCLUSIVE: Baba wa Masogange anategemewa kuzindua Movie aliyoshiriki Mwanae

EXCLUSIVE: Baada ya kumaliza PHD Dkt. Isaac Maro wa Clouds FM “Nimefungua Hospitali”

 

Soma na hizi

Tupia Comments