Top Stories

VIDEO: Mwigizaji Mkongwe ‘Mashaka’ wa KAOLE azikwa

on

Mwigizaji Mkongwe wa Kaole Sanaa Group Ramadhan Mrisho Ditopile maarufu kama ‘Mashaka’ amezikwa leo October 21, 2018 Kinyerezi Dar es salaam, ambapo baadhi ya watu walioshiriki mazishi hayo ni pamoja na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwet, muigizaji Mzee Chilo na wakongwe wengine kwenye upande wa filamu.

Tazama VIDEO kwa kubunyeza PLAY hapa chini.

Chuchu Hans “Siwezi kusikia Wivu Johari na Ray Kigosi, kuishi na Ray mwenyewe akiamua”

Soma na hizi

Tupia Comments