Top Stories

HATIMAYE! Tundu Lissu kafumbua kinywa na kutamka maneno 12

on

Siku mbili baada ya kushambuliwa kwa risasi kisha kupelekwa Kenye akutibiwa katika Hospitali ya Nairobi ambako alifanyiwa upasuaji kuondoa risasi mwilini, Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu hatimaye ameweza kurejewa na fahamu.

Kupitia ukurasa wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amemnukuu Tundu Lissu maneno aliyotamka baada ya kufungua kinywa ambapo aliandika>>>”Mwenyekiti I survived to tell the tale. Please keep up the fight” ni maneno machache aliyosema Lissu jioni hii baada ya kufumbua kinywa!”

Watu 30 na Magari wakamatwa Dodoma, Dereva wa Lissu aitwa

Taarifa mpya kutoka Nairobi Kenya kuhusu hali ya Tundu Lissu, bonyeza play hapa chini kufahamu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments