Habari za Mastaa

Sababu za Diamond Platnumz kutokuwa na dream ya kuwa chini ya record label yoyote

on

Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo May 31 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Diamond Platnumz kutokuwa na mpango wa kuwa chini ya lebel yoyote.

‘Dili nililopata hajawahi kupata msanii yeyote tangu muziki wa bongo fleva umeanza‘:-Diamond Platnumz

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE KUONGEA KUHUSU BEEF NA SHILOLE? UNAWEZAA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments