Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Flora Mvungi kaitaja kashfa ambayo hatoisahau maishani mwake…
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Flora Mvungi kaitaja kashfa ambayo hatoisahau maishani mwake…
AyoTV

VIDEO: Flora Mvungi kaitaja kashfa ambayo hatoisahau maishani mwake…

October 19, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Ni headlines za msanii Flora Mvungi ambae leo October 19,  2016 amefunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake.

Msanii huyo ameipa heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea haya>>>>Mimi sio mgeni macho mwa watu na wengi wananifahamu tabia yangu ikoje na wengi wanafahamu page yangu ya instagram ikoje na sijawahi kumtukana mtu bila sababu ya msingi kitu kikubwa’

‘Kikubwa ni kwamba ilivyotokea taarifa kwamba mimi ndio mmiliki wa ukurasa wa instagram uitwao Marashi ya pemba iliniumiza sana na kuniharibia hata kwa watu wengi ninaowaheshimu kwahiyo ningekupenda kuwaambia mashabiki wangu kwamba zile taarifa za mimi kumiliki huo ukurasa sio za kweli’

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa uone Flora Mvungi alivyoitaja kashfa ambayo hatoisahau maishani mwake

ULIIKOSA HII YA JUX KUHUSU DIAMOND KUTOMPOST INSTAGRAM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

You Might Also Like

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

‘Sho Madjozi’ akiwaimbia live watanzania Mama Amina ya Marioo Kidimbwi Beach DSM

VIDEO:Mwanaume anaedaiwa kutoka kimapenzi na shilole kafunguka uhusiano wao

TAGGED: flora mvungi, mastaa wa bongo
Edwin TZA October 19, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais wa Burundi amesaini rasmi kuiondoa nchi hiyo katika Mahakama ya ICC
Next Article HEKAHEKA: Mzee mmoja Mtwara ajikata sehemu za siri, kisa………
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2023
Magazeti June 1, 2023
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?