Habari za Mastaa

VIDEO: Majibu ya Sengo baada ya kubananishwa ishu ya kuzaa na Steve

on

Mwigizaji Sengo Maltida amehojiwa na AyoTV na millardayo.com kuhusu kuzaa na mchekeshaji Steve Nyerere ikiwa ni pamoja na kutoka naye kimapenzi baada ya taarifa hizo kusambaa sana mtandaoni huku yeye akika kimya bila kuzungumza chochote kuhusu ishu hiyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichojibu Sengo.

VIDEO: Aliyemuandikia Ommy Dimpoz wimbo anaingiza milioni 5 toka kwa Mastaa

Soma na hizi

Tupia Comments