Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: AMPLIFAYA: Ulizikosa dk 120 Radioni? Hizi stori zote za Amplifaya July 18, 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Amplifaya Top10 > AMPLIFAYA: Ulizikosa dk 120 Radioni? Hizi stori zote za Amplifaya July 18, 2017
Amplifaya Top10

AMPLIFAYA: Ulizikosa dk 120 Radioni? Hizi stori zote za Amplifaya July 18, 2017

July 18, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

July 18, 2017 mkusanyiko wa stori kubwa kutoka kona mbalimbali za dunia zilikusanywa pamoja na kusikika Radioni kwenye Amplifaya ya Clouds FM zikiwa ni dakika 120 kuanzia saa 1:00 usiku hadi saa 3:00 usiku.

Kama zilikupita dakika hizo hii ni nafasi yako nyingine na ya kipekee kuzipata hizi kubwa hapa millardayo.com.

#AmplifayaUPDATES Mbunge Gulamali amesema mwigizaji wa filamu za kihindi Sunjay Dutt atakuwa Tanzania kwa siku 21 pic.twitter.com/ku1K0n03jf

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES Aliyekuwa diwani kata ya muriet Credo Kifukwe amesema hajapokea mil 30 ili ajiuzulu kama inavyoelezwa na viongozi CHADEMA

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES BoT wasema kuweka kiwanda cha kutengeneza fedha ni mtaji mkubwa, ukiweka utaacha vitu vingi mf. miaka 10 usijenge barabara pic.twitter.com/0x7ZpD9sST

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES Unaambiwa tangu 1966 BoT ilipoanza kujitengenezea hela zake kwa kutoa tenda hakuna tenda ya ndani iliyoshinda pic.twitter.com/t99a5hQnvH

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES Hakuna shauri limepelekwa mahakama ya mafisadi kwa sababu linaanzia mahakama ya hakimu mkazi na mpaka upelelezi ukamilike

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES Mwanamke mmoja Saudi Arabia anatafutwa na polisi baada ya kujirekodi video Snapchat ambayo anaonekana hakujisitiri pic.twitter.com/1RDwP1TXq2

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES Serikali imemshauri Tundu Lissu kutekeleza wajibu wake kwa kusimamia weledi akiwa kama Wakili badala ya kufanya Propaganda pic.twitter.com/LP2uXRj0MO

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

https://twitter.com/millardayo/status/887355720185896960

#AmplifayaUPDATES "Sijawahi kutengeneza wimbo wa Alikiba ambao haujahit, mashabiki wanaweza kuwa mashahidi, sijawahi kujutia'-Man Water pic.twitter.com/qMsTUK5ont

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

#AmplifayaUPDATES "Kuna ujio mwingine wa @OfficialAliKiba, nimefanya naye kazi nyingi, yeye ndio ataamua atoe ipi"-Man Water pic.twitter.com/PmJzUpxR5U

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

Serikali imemshauri Tundu Lissu kusimamia weledi badala ya kufanya Propaganda kwa kutumia lugha za kejeli, kuudhi na uchochezi. pic.twitter.com/p54FdfZ3RU

— millardayo (@millardayo) July 18, 2017

Uwaziri Mkuu utazuia Lowassa asipelekwe Mahakamani? Lissu afunguka kwenye hii VIDEO ambayo unaweza kutazama kila kitu kwa kubonyeza PLAY!!!

VIDEO: “Utaratibu unafanywa wa kumpeleka Mahakamani Edward Lowassa” – Tundu Lissu, mtazame mwanzo mwisho hapa chini!!!

You Might Also Like

Uchambuzi katika timu 32 za World cup 2022 timu 23 zina makocha wazawa , 9 pekee ndio hazina wazawa

Amplifaya: Wanaume wawaambie Wanawake mishahara yao, Whozu na Meja Kunta wasalimiana

Sababu zimetajwa za Vyuo Vikuu kufungiwa nchini

AMPLIFAYA: Stori zote zilizosikika kwenye Amplifaya leo July 19, 2017

AMPLIFAYA: Ulikuwa mbali na Radio? Stori zote za Amplifaya July 17, 2017

TAGGED: Amplifaya
Millard Ayo July 18, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Baada ya tiba ya saa 72 kwa Shomari Kapombe, jibu ni haitowezekana !
Next Article “Wangapi wanaonekana kama wameshapita? – Gigy Money kwa Diamond Platnumz
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?