AyoTV

Ni kweli Diamond anatoka kimapenzi na mshindi wa BBA?

on

Jina la staa wa Bongofleva Diamond Platnumz limerudi kwenye headlines baada ya kuanza kuhusishwa kuwa mapenzini na mrembo kutoka Namibia Dilish Methew ambaye pia ni mshindi wa Big Brother Africa 2013.

Diamond na Dilish wanadaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi baada ya snap story zao kuonesha kama walikuwa eneo moja Zanzibar, kitu ambacho kimezidi kuibua maswali kuwa wapo mapenzi? AyoTV inawatafuta kuweza kujua ukweli wa tetesi hizi.

VIDEO: Ommy Dimpoz ahojiwa kwa saa Tano Polisi DSM

Soma na hizi

Tupia Comments