Top Stories

Swali la Proffesor Jay baada ya Mafuriko jimboni kwake

on

Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Professor J ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni leo April 16, 2018 ambapo aliihoji Serikali ni lini lini Serikali itamaliza ujenzi katika bwawa la Kidete, Kilosa ambalo limekuwa likisababisha maafa katika kipindi cha mvua.

“Huyu Nondo ana umaarufu gani? Hii sio sawa” –Mbunge Shabiby

Soma na hizi

Tupia Comments