Mix

VideoFUPI: Nay wa Mitego alivyofika Wizarani kwa Dk. Mwakyembe

on

Siku kadhaa zimepita tangu msanii Nay wa Mitego kuachiwa huru, ambapo alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili.

Msanii Nay wa Mitego aliachiwa huru baada ya agizo la Rais Dk. John Magufuli kupitia kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ambaye aliomba kuonana na Nay wa Mitego ili kumshauri vitu vya kuongeza kwenye wimbo huo wa ‘WAPO’. 

Sasa jioni hii Nay wa Mitego amefika wizarani mjini Dodoma kwa ajili ya kuonana na Dk. Mwakyembe.

VIDEO: Nay wa Mitego ajibu kuhusu kudaiwa kutumika kisiasa, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments