Habari za Mastaa

Hivi ndivyo washindi wa Serengeti Dance la Fiesta walivyopatikana

on

60dncJioni ya August 07 ndiyo yamemalizika mashindano ya Serengeti Dance la Fiesta ambayo huwa yanaongozana na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta na kwa mwaka huu tamasha hili limeanzia jijini Mwanza.

Makundi yaliyojitokeza kwenye michuano hii yalikuwa matano kutoka mitaa mbalimbali ya Mwanza ambayo ni Buddies Numbers,Young Kids,TYT,Scorpion Crew,Tanikando.

Mpaka mashindano yanakamilika washindi wa mashindano haya ya Dance la Fiesta walikuwa ni Buddies Numbers ambao wamejishindia kiasi cha shilingi Milioni moja ambayo imetolewa kama zawadi kwao.

2spnyt

4dnc

6spnyt

7spnyt

11spnyt

15dnc

15spnyt

Clouds Fm ilikuepo pia.

32dnc

22dnc

21spnyt

20spnyt

18spnyt

34dnc

36dnc

40dnc

48dnc

53dnc

56dnc

57dnc

58dnc

60dnc

62dnc

64dnc

77dnc

Washindi wa Dance la Fiesta baada ya kutangazwa kikundi hiki kinaitwa Buddies Boys

118dnc

Jaji mkuu wa Dance la Fiesta Adam Mchomvu.

133dnc

Meza ya majaji.

129dnc

140dnc

Wananchi wakifatilia Dance la fiesta.

144dnc

153dnc

162dnc

164dnc

188dnc

194dnc

197dnc

204dnc

217dnc

 

241dnc

Nickson George aka Lugha Kali ndiye alikua Host wa Dance la Fiesta.

246dnc

247dnc

249dnc

250dnc

253dnc

254dnc

282dnc

280dnc

274dnc

258dnc

Kuna time ilifika Adam Mchomvu aliniita on stage na kutoa nafasi ya kuulizwa maswali 5.

256dnc

286dnc

294dnc

295dnc

296dnc

297dnc

300dnc

319dnc

318dnc

313dnc

310dnc

306dnc

304dnc

322dnc

323dnc

 

 

 

 

Tupia Comments