Habari za Mastaa

Reality show ya ‘Dance with Peter’ wa P-Square tayari Episode1 Video iko hapa…

on

Yes!! ile reality show ya Peter Okoye kutoka kundi la P- Square inayojulikana kama ‘Dance with Peter’ tayari imeanza kuonekana baada ya kuachia sehemu ya kwanza ya show hiyo.

Katika sehemu ya kwanza Peter anaonekana na majaji wenzake Queen Kaffy na Flex wakiwa wanawahoji watu mbalimbali waliojitokeza kushiriki kwenye shindano hilo.

Itazame hapa mtu wangu..

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments