Featured

Kiwanda cha Cement cha Tajiri Aliko Dangote ujenzi umefikia hapa, pichaz nje mpaka ndani..

on

Kwenye list ya Matajiri wakubwa wanaotambulika Duniani kwa sasa yuko pia mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote ambaye ni Raia wa Nigeria, Afrika anatajwa kuwa tajiri wa kwanza kabisa.

Utajiri wake unatokana na nguvu kubwa ambayo amewekeza kwenye Biashara na Miradi mbalimbali ikiwemo Miradi ya Sukari, Cement, Mafuta na Biashara nyingine kubwakubwa.

Alikuja Tanzania pia akahitaji kuwekeza moja ya Miradi yake mikubwa, akapata ruhusa ya kufanya ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mtwara… ujenzi umefikia pazuri na Rais Kikwete alifika pia kwa ajili ya Sherehe za uzinduzi wa Kiwanda hicho.

d3

Rais JK akitambulishwa kwa Wageni wengine toka Nigeria waliohudhuria Uzinduzi huo October 10 2015 Mtwara.

d22

Alhaji Aliko Dangote kwenye Hotuba.

d25

.

d29

Rais Kikwete kwenye Hotuba pia ya Uzinduzi.

d35

Wakati wa Picha ya pamoja, Rais JK, Mama Salma Kikwete, Aliko Dangote pamoja na Wageni wengine.

d37

Baadhi ya Wafanyakazi toka China na India waliohusika na Ujenzi wa Kiwanda hicho.

d39

.

d41

Muonekano wa moja ya sehemu za ndani ya Kiwanda.

d45

.

d47

Muonekano wa moja ya Majengo ya Kiwanda.

d48

Upande mwingine wa Kiwanda.

d49

Na

:Pichaz zote kutoka Blog ya Issa Michuzi >>> MICHUZI BLOG

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB, YOUTUBE.

Tupia Comments