Top Stories

“Hadi leo sijatimiza ahadi niliyotoa kwa wananchi wangu” -MAVUNDE

on

Mbunge wa Dodoma mjini Athony Mavunde October 19, 2018 amekutana na Madereva wa bodaboda na bajaji katika wilaya hiyo ambapo amewaeleza kuhusu mkakati wake alioubuni wa kuwadhamini vijana wote wanaofanya biashara hiyo ili wapewe mikopo katika baadhi ya benk nchini.

Wakati ninaomba kura mwaka 2015 moja ya ahadi zangu ilikuwa kuwasaidia madereva bajaji na pikipiki, kwa bahati mbaya ahadi hiyo haijatimia mpaka leo lakini nimezungumza na benk zaidi ya tatu ambazo wamekubali mimi Mbunge kusimama kwa niaba ya bodaboda wote na bajaji kuwa kama dhamana yao ili wapatiwe mikopo”-Anthony Mavunde

Alichojibu Gabo kuhusu mume mtarajiwa wa Wema “Anaweza akakuchukia kumbe unamjenga”

Soma na hizi

Tupia Comments