Huu ni muonekano wa juu wa Daraja la JPM Kigongo – Busisi Mwanza ambalo litakuwa na urefu wa kilometa 3.2 pamoja na barabara unganishi ya kilometa 1.66, ndilo daraja refu Afrika Mashariki na Kati na gharama za ujenzi ni bilioni 699.2, ujenzi unatarajia kukamilika Feb, 2024.