Mix

Picha 25: Ilivyokuwa uzinduzi wa daraja la kigamboni Dar es Salaam

on

April 19 2016 ni siku ya uzinduzi wa Daraja la Kigamboni ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amelizindua rasmi  daraja la Kigamboni na amependekeza liitwe jina la Mwalimu Nyerere na si jina lake kama wengine walivyopendekeza.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo

.

.

.

.

.

.

.

.Ni Jiwe la msingi la daraja la Kigamboni lililozinduliwa na Rais John Pombe Magufuli 19, April 2016

.

.Rais John Pombe Magufuli  na mkewe Janeth  wakiwa na viongozi waliohudhuria uzinduzi huo

.

.

.

.

 

.

.Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akiwa na  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Mh. Anthony Mavunde

.

.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John William Herbert Kijazi

.

.

.

.

.

.

.

.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jonh Pombe Magufuli akisalimiana  na viongozi mbalimbali

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Gari la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli likiondoka kwenye eneo la tukio

.

.

.

.Msafara wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli 

.

.Katikati ni Kamanda wa  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Siro

.

.

.

.

.

.

.

.

Kama ulimiss Rais Magufuli alivyotangaza kutengua ukuu wa mkoa Anna Kilango itazame hapa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments