Mix

PICHA 10: Ujenzi wa Daraja la juu litakalotumika jijini Mwanza

on

Ahadi yangu iko pale pale, kila siku ni kuhakikisha haupitwi na chochote au taarifa yoyote kutoa popote duniani. Kwa jiji la Dar es salaam sio kitu kigeni kabisa kuwepo kwa daraja la juu linavusha watu kutoka upande mmoja wa barabara kwenda upande mwingine kwa kupita juu.

Kutoka Jijini Mwanza nimezipata picha 10 za ujenzi wa Daraja litakalotumika na wananchi kwaajili ya kuvuka barabara ili kupunguza msongamano au foleni kwenye eneo la Furahisha.

Nimekuwekea hapa Picha 10 kutoka linapojengwa Daraja hilo

3x6a0146 3x6a0144 3x6a0143 3x6a0141 3x6a0132 3x6a0134 3x6a0135 3x6a0137 0f8a0165 0f8a0166

ULIKOSA KUTAZAMA AJALI YA KUUNGUA MOTO KWA BASI NA LORI OCTOBER 30? NIMEKUWEKEA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments