Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Darassa amekuwa msanii wa pili kuweka rekodi hii kwenye HipHop ya Bongo.

on

Mwaka 2016 unazidi kumtendea haki  rapper Darassa upande wa  muziki wake kwani amekua akitoa hit baada ya hit huku akipata shangwe la kutosha kutoka kwa mashabiki.

Darassa  amevunja rekodi ya kuwa  msanii wa pili wa Hip-Hop Tanzania ambaye video yake ya ‘Muziki ‘aliyomshirikisha Ben Pol imetazamwa na zaidi ya watu milioni moja ndani ya wiki mbili kwenye mtandao wa YouTube huku rekodi hiyo ikishikiliwa na A.Y kupitia video yake ya Zigo remix aliyomshirikisha Diamond Platnumz iliyofikisha zaidi ya watazamaji milioni moja ndani ya wiki moja.

darasa

Video: Rapper kutoka Kenya anataka kuifanyia ngoma yangu ya  Too Much remix -Darassa >>>

Video:Wimbo wa Darasa ‘Muziki’ umemsababishia haya dereva wa basi la abiria>>>

Soma na hizi

Tupia Comments