Habari za Mastaa

Umeisikia hii ya Queen Darleen kupita juu ya beat ya ‘nakomaa na jiji’ ya Shilole?

on

Screen Shot 2014-02-17 at 8.26.33 AMHuu ni wimbo mpya toka kwa Queen Darleen ambae ni dada wa Diamond Platnumz, hapa kamshirikisha Shilole ambapo unaweza kudhani ni rmx ya ‘nakomaa na jiji’ lakini jibu ni hapana……. wimbo huu unaitwa ‘wanatetemeka’ audio imefanywa palepale kwa Mazuu.

Tupia Comments