Michezo

Dauda Sports Store wapewa haki ya kuuza jezi za Fenerbahce Tanzania

on

Duka la Dauda Sports Wear ndio duka pekee ambalo Fenerbahce wamelipa kibali cha uuzwaji wa jezi zao orijino za msimu wa 2020/2021.

Taarifa hiyo imethibitishwa na Mkurugenzi wa Dauda Sports Wear Shaffid Dauda ambaye amefanya makubaliano na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi na mkuuu wa kitengo cha Masoko na Biashara wa Fenerbahce Mr Sina Afra.

Jezi zitakazouzwa katika duka hilo ni jezi za nyumbani, ugenini na jezi mbadala za Fenerbahce (Third Kit) na sasa unaweza kupata kwa kuweka oda yako 0625 620 651 kwa Tsh 90,000/=.

Soma na hizi

Tupia Comments