Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Tunduma Mkoani Songwe, amemtangaza David Silinde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 43,276, akifuatiwa na Frank Mwakajoka wa CHADEMA aliyepata kura 12,433.
David Silinde ashinda Ubunge Jimbo la Tunduma
Leave a comment
Leave a comment