Habari za Mastaa

Davido aagiza gari la kifahari lenye thamani ya Bilioni 1.27 za kitanzania

on

Davido anazidi kuonesha jeuri ya Pesa baada ya kuonesha umma kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba ameliagiza gari jipya aina ya Lamborghini.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa staa huyo amesema kuwa gari hilo linathamani ya dola za kimarekani Laki 5 ambazo ni sawa Bilioni 1.27 za kitanzania.

.

MWANASHERIA AFUNGUKA ENDAPO UKASAMBAZA VIDEO ZA UTUPU AU UKATUMIWA CONNECTION “FAINI NA VIFUNGO”

 

Soma na hizi

Tupia Comments