Habari za Mastaa

Davido katuletea video mpya akiwa na Chris Brown & Young Thug (Video+)

on

Ni headlines za mkali kutokea Nigeria Davido ambae time hii katuletea video mpya ya wimbo wake Shopping Spree aliyowashirikisha wakali wa Marekani akiwemo Chris Brown & Young Thug.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama.

Tupia Comments