Habari za Mastaa

Davido kuongeza ndege yake nyingine 2020

on

Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ameanza mwaka 2020 kwa mbwembwe baada ya kutuonesha kuwa amepanga kushusha ndege yake nyingine binafsi ( Private Jet) ikiwa ni sehemu ya mipango yake anayotaka kuifanikisha mwaka 2020.

Kupitia mtandao wa Instagram Davido amepost video inayomuonesha akimwaga hela na kuandika ujumbe huu hapa “MOOD ALL 2020 !! E PAIN DEM! THIS YEAR NEW WHIPS CRIBS AND JETS !!! ikiwa ni katika kuukaribisha mwaka mpya 2020.

VIDEO: HARMONIZE APOKELEWA KWAO NA TAMBIKO, APAKWA DAMU USONI NA MIGUUNI

Soma na hizi

Tupia Comments