Habari za Mastaa

Tambo za mastaa…. Davido anasema bei ya saa zake ni foleni ya magari

on

Ukiambiwa utaje wasanii ambao wanafanya vizuri time hii kwa Afrika jina la Davido  halikosekani, ni staa ambaye kwa sasa anamiliki mdundo wake aliomshirikisha OlamideThe money‘.

Kwenye maswali ya mashabiki kwenye mtandao wake wa Twitter Davido aliulizwa anazo saa ngapi za mkononi? akajibu anazo mbili ambazo gharama yake inaweza kununua magari kama 20 hivi.RO

fundddd

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments