Habari za Mastaa

Inawezekana Davido katishiwa maisha na kuamua kujifunza kujilinda kwa bastola?… (Pichaz + Video)

on

davido
 Superstaa wa muziki Nigeria Davido siku chache zilizopita alikuwa jijini Atlanta kwa ajili ya mafunzo madogo ya matumizi ya bunduki maarufu kama Gun Shooting Range lessons.
Taarifa zinazosambaa mitandaoni wakati huu zinadai labda staa huyu wa Nigeria amelazimika kuchukua mafunzo hayo kufuatia vitisho dhidi ya maisha yake kutoka kwa mdeni asiyejulikana jina amabaye amekuwa akimshambulia kupitia Instagram page yake.
davido2
Na kupita Instagram page yake Davido alipost picha hizi huku caption yake ikiwa: “PLAY AROUND AND CATCH A BODY !! ????????????????????????????????????????????????????????????????“.
davido1
davido3
Akapost pia kwenye Instagram page yake kipisi hiki cha video akiwa kwenye mafunzo hayo..

F**K AROUND AND CATCH A BODY !! ????????????????????????????????????????????????????????????????

A video posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments