Mix

Baada ya Skelewu Davido aja na huu wimbo mpya unaitwa “Aye”.

on

CaptureDavid Adeleke maarufu kwa jina la jukwaani kama Davido, ametoa wimbo wake mpya na wa kwanza kwa mwaka 2014.

Watanzania tuna kumbukumbu ya Davido alivyofanya show kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya Tanzania alivyokuja kwa ajili ya Fiesta mwaka jana.

Kama wewe ni shabiki wa Davido hii hapa ni kwa ajili yako na unaweza kusikiliza au ku-download hapa.
[soundcloud soundcloudurl=”https://soundcloud.com/xxl23/aye-davido-millardayo-com” ][/soundcloud]

Tupia Comments