Habari za Mastaa

Kama unazikubali kali za Davido, ipokee na hii nyingine mpyampya.. ‘The Money’ Feat. Olamide (Video)

on

David Adedeji Adeleke a.k.a Davido ni staa mwenye headlines zake za nguvu toka Nigeria..!! Ukali wake ameuthibitisha kwenye midundo mingi sana aliyofanya yeye mwenyewe na nyingine kali za collabo na majina makubwa Duniani.

Davido-Olamide-The-Money

Okay, kwenye kuweka sawa kumbukumbu zinazomhusu staa Davido, sasahivi imebaki siku chache tu kufikia ile siku ambayo atakuwa anasherehekea birthday party yake ambayo itakuwa November 21 2015, Davido atakuwa anatimiza miaka 23 !!

Davido

Unajua kuna kitu kipya cha Davido? Umekipata?

Kama majibu yako yote ni HAPANA, basi karibu kuenjoy hii mtu wangu, mpya ya Davido Feat. Olamide– ‘The Money‘ (Video)

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments