Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agnes Masogange!
Share
Notification Show More
Latest News
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agnes Masogange!
Habari za Mastaa

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agnes Masogange!

December 17, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agnes Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria… ambapo mitandao mingi ilidai kuwa Agnes ana ujauzito wa Davido! Je, taarifa hizi zina ukweli wowote?

maso4
Agnes Masogange.

Davido aliamua azungumze baada ya kuchoshwa na maneno yote yanyosemwa juu yake na Masogange kwenye tweets zake nane nilizofanikiwa kuzinasa kupitia page yake ya Twitter @iam_Davido.

maso2
Davido.

Haya ndio majibu ya Davido kuhusu uvumi wa Agnes Masogange kubeba ujauzito wake..

maso1

>>> “TBH sijali Blogs zinaandika nini Ukweli au Uongo lakini pale ambapo mtu ananipigia kutoka nchini nyingine analia… ” <<< @iam_Davido.

maso2

>>> “Kuhusu mchumba wake kuona taarifa za uongo na anakaribia kuondoka na kumuacha…” <<< @iam_Davido.

maso3

>>> “na machungu!! Haya ni maisha ya watu ambayo nyie watu mnayachezea, mpaka kitu cha ajabu kitokee ndipo watu watakapojiona wajinga…” <<< @iam_Davido.

maso4

>>> “Tafadhali acheni, hii sio haki kwa Agnes na mpenzi wake, waache waishi na kupata mtoto wao kwa amani… Smh” <<< @iam_Davido.

maso5

>>> “Nimetajwa kama miongoni mwa watu wenye ushawishi mkubwa kwa mwaka 2015 na FORBES AFRICA kwanini msiisambaze hii” <<< @iam_Davido.

maso6

>>> “Lakini taarifa yoyote mbaya mtaishambulia na kuiandika! Msinichukulie vibaya, kama ni taarifa za ukweli basi hakuna ubaya wowote… ” <<< @iam_Davido.

maso7

>>> “Lakini kwanini msambaze uongo!!! Tunaishi kwenye dunia iliyovurugwa!! Hii social media tunaitumia kwa level nyingine” <<< @iam_Davido.

maso8>>> “Siku moja mtakuja kuandika ujinga kuhusu mtu ambaye haiwezi hii presha na mtaona kitakachotokea!!!” <<< @iam_Davido.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Bongofleva, Nigeria
Millard Ayo December 17, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?!
Next Article Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023

March 27, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 25, 2023

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?