Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!
Share
Notification Show More
Latest News
Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
August 14, 2022
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!
Habari za Mastaa

Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!

September 22, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

September 22, 2016 mtu wangu wa nguvu, nakusogezea taarifa nyingine nzuri kutoka kwa Davido star wa muziki kutoka nchini Nigeria ambaye alisaini deal na ya kufanya kazi na lebo ya Sony Music. Taarifa hii nzuri ikufikie shabiki wake uliyezimiss kazi za Davido kwenye Radio na TV. 

imageKimya cha takribani miezi kumi na moja cha msanii Davido huenda kikamalizika siku chache kutoka sasa, Hii ni baada ya star huyo anayesimamiwa kazi zake na lebel ya RCA records iliyoko chini ya Sony Music, kupost video akiwapa taarifa kuanza kuachiwa video zake zaidi ya 20 kabla mwaka 2016 haujaisha.

Davido kupitia video hiyo amesema anapanga kwa kuumaliza mwaka 2016 kwa style tofauti ili afanane na label yak, Sony Music ambao amedai kuwa wamemruhusu kuanza kuachia kazi zake ikiwemo albam yake mpya itakayoitwa Son of Mercy, ambayo itatoka ndani ya mwaka huu.

Davido alisaini deal ya usimamizi wa kazi zake na kamouni ya Sony Music, January 20 2016 ambapo Taifa la Nigeria lilikua taifa la kwanza barani Afrika kuingia makubaliano hayo na kuwa msanii wa kwanza wa Afrika kutia saini ya record deal hiyo.

Mtazame Davido akiongelea hilo hapa chini.

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO? TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

TAGGED: davido ayotv
Millard Ayo September 22, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Baada ya Daraja la Kigamboni, Daraja lingine kujengwa Dar es salaam
Next Article U HEARD: Nuh Mziwanda kaelezea sababu za kuachana na Meneja Petit Man
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
Sports August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
Sports August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
Top Stories August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
Magazeti August 14, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022

August 12, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 11, 2022

August 11, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2022

August 10, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2022

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?