Mkurugenzi wa NIMR Yunus Mgaya akiongea na Channel Ten “Lengo kubwa la dawa hii ni kumpa nafuu mtu aliyeambukizwa virusi vya corona na hata yule ambaye hana maambukizi, hii dawa inalenga kuimarisha kinga ya mwili, inalenga kupunguza na kutibu dalili za corona”