Top Stories

DAWASA imebadili utaratibu wa utumaji bill za maji “ndani ya siku 30 malipo”

on

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DSM (DAWASA) imefanya mabadiliko katika mzunguko wa usomaji mita na utumaji wa ankara yaani bill za maji kwa wateja wake kutoka tarehe 1 hadi 15 ya kila mwezi kwenda tarehe 20 hadi 30.

ASKARI WAPEWA VIFAA MAALUMU VYA KUKUSANYA TAARIFA “TUMEPOTEZA TEMBO”

Soma na hizi

Tupia Comments