Habari za Mastaa

Extraordinary- Video mpya ya D’Banj ambayo ni maalum kwa Kampeni ya kupambana na umaskini!!

on

dddD’Banj ameachia video ya nyimbo zake mbili kwa wakati mmoja akiwa Washington DC Marekani ambako amefanya show ya kuzindua Kampeni ya kupambana na umaskini.

Kwenye video hiyo wako mastaa wengine kama Will.I.am, Common, Usher, Chris Martin na Fally Ipupa.

Global-Citizen-2015-Earth-Day-April-2015-BellaNaija0021

D’Banj amesema  wimbo wake mpya waExtraordinary’ ameutoa kwa ajili kampeni ya kupambana na umaskini.

Nakukaribisha hapa kuitazama video yake…

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments